Monday, August 6, 2007

TULIKUTANA....TULIKUTANA

Ilikuwa siku ya historia kuandikwa,tulikutana pale Rose Graden kama ilivyopangwa.Pichani ni Kassongo(Tambaza 1992-1995),Rehema na Yuster(Tambaza 2000 - 2002).

1 comment:

Anonymous said...

Mweeh!
Kumbe ilikuwa Tambaza ya "Kizazi kipya" cha Bongo Fleva!
Bora sikuja! Tutandaa nyingine ya "zilipendwa" sasa. Miaka ya 1980 kurudi nyuma