where Tambazans Dreamland all stars meet....It is here where we Tazama Mbali Zaidi..TAMBAZA
Monday, August 6, 2007
TULIKUTANA....TULIKUTANA
Ilikuwa siku ya historia kuandikwa,tulikutana pale Rose Graden kama ilivyopangwa.Pichani ni Kassongo(Tambaza 1992-1995),Rehema na Yuster(Tambaza 2000 - 2002).
1 comment:
Anonymous
said...
Mweeh! Kumbe ilikuwa Tambaza ya "Kizazi kipya" cha Bongo Fleva! Bora sikuja! Tutandaa nyingine ya "zilipendwa" sasa. Miaka ya 1980 kurudi nyuma
1 comment:
Mweeh!
Kumbe ilikuwa Tambaza ya "Kizazi kipya" cha Bongo Fleva!
Bora sikuja! Tutandaa nyingine ya "zilipendwa" sasa. Miaka ya 1980 kurudi nyuma
Post a Comment