Wednesday, March 10, 2010

Mwl.MARIJANI


Ni Mwalimu Marijani. Nilipiga nae stori leo kwenye kijiwe kimoja cha mjini-mjini. Mwalimu wetu huyu wa lugha ya Kiingereza aliondoka Tambaza tukiwa Form III mwaka 1986. Alikwenda Jeshi la Polisi. Huko alikwenda kujifunza urubani wa helikopta za polisi. Kwa sasa ni Mkuu wa Idara ya nanihii Mkoa wa Pwani.Nakumbuka siku moja darasani kuna mwenzetu mmoja aliyetokea Tarime ( Jina kapuni) alipandisha jazba na kuleta za kuleta kwa Mwl. Marijani. Naye Mwl. Marijani akatamka huku akikunja shati lake la mikono mirefu; " E bwana hili darasa ni la wanaume watupu. Kama vipi njoo hapa mbele, tuzinanihii..".Form Three 'K' yetu ilikuwa na wenye busara. Tukamsihi jamaa yetu yule mzaliwa wa Tarime atulize jazba yake. Mambo yakaisha. Tumetoka Mbali!

Mtembelee mwanaTambaza mwenzetu kwenye http://www.mjengwa.blogspot.com/

PCB 1988


These pictures were taken twenty two years ago. Class photo of the PCB class.The picture above standing from left:Kenneth Petro(whereabout unknown) , Zahir(Pharmacist-Kisarawe), Jaffer Dharsee(Radiologist-Aga Khan-Dar es Salaam), Steven Rwechungura (whereabout unknown), Martin Mselemu (Procurement Officer-Ministry of Defence), Emmanuel(whereabout unknown), John Materu (Public Health Specialist-Rombo), Amin Mbonde (USA), Mohamed A. Mohamed (Epidemiologist-MOHSW), Magreth Masaro (Deceased), Qaidjohar (Canada), Nasra (whereabout unknown), Bernadetta Shillio(Eye Specialist-KCMC), Sekela Mwakyusa (Peaditrician-NACP, MOHSW), Navo Linjewile (Dental Surgeon-Lesotho), Lillian Omari (Social Worker-whereabout unknown), Farida Katundu(Medical doctor-Uganda), Emma Lekashingo (Pharmacist-NACP,MOHSW), Lillian Donald (Deceased), Dr Ellen Ottaru (Precision Air), Safia Said (SUA), Ellen Mkondya (CEO-Benjamin Mkapa Foundation).Middle row from left: Caddis Luoga (Teacher-Njombe), Rashid Mayoka (Surgeon-Ifakara), Mdau (Microbiologist-MOHSW), name forgotten, Halima Maulid (GP-UK), Unknown, Nanda Pandit (whereabout unknown), Irene Abimael (deceased), Mariam Abu (Public Health Specialist-New York), Koku Kazaura (Senior Manager-CDC Tanzania), Eliza Mwaikambo (Programme Officer-PMTCT, MOHSW),.Squatting from left: Juve Rutta (Dental Surgeon-Namibia) and Bwene Gabriel (whereabout unknown).The picture below shows the boys in the class.Standing from left: Kenneth Peter(whereabout unknown), Dr Hassan Mtwangi (Dental Surgeon-Lesotho), Dr Mohamed(Epidemiologist-MOHSW), Dr Faustine(Microbiologist-MOHSW), Zulfikar(Businessman-Kariakoo), Thompson (whereabout unknown), Deo Babile (whereabout unknown), Caddis Luoga (Teacher-Njombe), Dr Joseph Kavit (Public Health Specialist-Mwanza), Zahir (Pharmacist-Kisarawe), Dr John Materu (Public Health Specialist-Rombo) and Bwene Gabriel (whereabout unknown).Squatting: Martin Mselemu(Ministry of Defence), Dr Rashid Mayoka (Surgeon-Ifakara), Steven Rwechungura (whereabout unknown), Berrington Shayo (Pharmacist-TAYOA) and Emmanuel


Kwa maelezo zaidi nenda http://www.drfaustine.blogspot.com/ mtembelee mdau wa Tambaza Dr.Faustine Baraza

RIP MAY MBOGO

Rafiki yetu May Mbogo amefariki dunia juzi jumapili usiku katika hospitali ya Muhimbili ambako alikuwa amelzwa tokea mwezi Agosti , 2009.
Msiba uko nyumbani kwao mikocheni karibu na Cambridge College namazishi yanatarajiwa kuwa kesho jumatano saa 8 mchana.
Bwana ametoa na Bwana ametwaa. Jina la bwana na lihidimiwe.
Mola aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi - Aminakwa wale waliosoma Jangwani miaka ya tisini 1989-1992 na Tambaza miaka ya 1993-1996 watakwua wanamfahamu, kwani alimalzia Tambaza mwaka 1995.

kutoka Michuzi Blog

Thursday, September 11, 2008

NANA ADDO --THE BEST MAN

hUYU ndo mgombea aliyetawala midomo ya wakazi wa Accra.ni kipenzi cha wengi

NANA ADDO

Mambo yanaendelea kuiva Ghana katika mbio za kuelekea uchaguzi mnamo tarehe 7 desemba 2008

Friday, June 6, 2008

BUFF G WA IST KOSTI

Buff G wa iliyokuwa timu ya pwani ya mashariki...hapo ni Rock Beach Morogoro

UTALII WA NDANI

Niliamua kuwa mtalii wa Ndani kwa kutembelea Mikumi.Wa kwanza kulia ni MwanaTambaza(1995) Gabriel

TUNAJIPA MOYO


Kibongo bongo tunajipa moyo..Tazama Mbali Zaidi...

Wednesday, June 4, 2008

UFISADI...UFISADI


Nimeibamba sehemu sehemu hiii...stay tunned

OBAMA JUU CLINTON ZII

Kamanda Obama akizungumza baada ya kuiona njia nyeupeeee ya Democrats Nominee...