Wednesday, March 10, 2010

RIP MAY MBOGO

Rafiki yetu May Mbogo amefariki dunia juzi jumapili usiku katika hospitali ya Muhimbili ambako alikuwa amelzwa tokea mwezi Agosti , 2009.
Msiba uko nyumbani kwao mikocheni karibu na Cambridge College namazishi yanatarajiwa kuwa kesho jumatano saa 8 mchana.
Bwana ametoa na Bwana ametwaa. Jina la bwana na lihidimiwe.
Mola aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi - Aminakwa wale waliosoma Jangwani miaka ya tisini 1989-1992 na Tambaza miaka ya 1993-1996 watakwua wanamfahamu, kwani alimalzia Tambaza mwaka 1995.

kutoka Michuzi Blog

No comments: