Tuesday, July 31, 2007

ALUMNI MEETING

Do not forget that we are meeting for the first time at Rose Garden-Mikocheni on the 4th of August 2007...Please be there to be part of this history in the making.

9 comments:

Anonymous said...

I like this blog

Anonymous said...

Great innitiative Elly! Nitakuwepo kwenye meeting!

Anonymous said...

Tambaza iliyokuwa na shift mbili haikuwa na ladha, Tambaza iliyojaa mademu kwa ajili ya kufungwa o level, ni sawa na kibasila.

Tambaza alisi wale waliopita miaka ya 80s, angalau kama ulimkuta shetani hajamaliza shule.

Anonymous said...

Naomba tufahamishwe yatakayojiri during that alumni meeting.

Rush (Ex-Tambaza 1977-1980)

Anonymous said...

Mimi nadhani Tambaza ni Tambaza tu!! Iwe ya akina Marijani Rajabu au Shetani au Okello hata akina No mbungi bila kuwasahau Yellowman (japokuwa baadaye aliasi)au Tambaza ya A' levels tu; bado ni Tambaza na itabaki kuwa Tambaza hata kama itageuzwa kuwa Taasisi ya elimu ya watu wazima. Historia huwa haipotei!! Jambo la wanatambaza kukutana ni la busara. Ni vyema tujue tunakuja kufanya nini. I might be there. I am a product of Tambaza. Shetani pia akaribishwe!!

Anonymous said...

Naungana na Anony hapo juu.
Kama hamtuambii angalau hata tentativ ajenda, na mimi siji

Anonymous said...

Hata kama usipotoa coments zangu. Lakini narudia kuwaunga mkono waliotangulia kusema kuwa tupewe tentative agenda.

Anonymous said...

Nimeulizwa juu ya ajenda: Mimi napendekeza zifuatazo:



1-Unazishwaji wa jumuiya ya wanatambaza
2-Kujadili na kubuni mchakato wa maoni juu ya jina la jumuiya
3-Kubuni mchakato mfupi wa kutengeneza miongozo ya jumuiya
4-Kuhamasisha na kufahamisha wanajumuiya
5-Ushiriki wa wanachama waliopo
nje ya Dar/nchi
Mengineyo


ERIC ONGARA

Anonymous said...

Poa. Sasa ni/tu takuja