where Tambazans Dreamland all stars meet....It is here where we Tazama Mbali Zaidi..TAMBAZA
Tuesday, July 31, 2007
ALUMNI MEETING
Do not forget that we are meeting for the first time at Rose Garden-Mikocheni on the 4th of August 2007...Please be there to be part of this history in the making.
Mimi nadhani Tambaza ni Tambaza tu!! Iwe ya akina Marijani Rajabu au Shetani au Okello hata akina No mbungi bila kuwasahau Yellowman (japokuwa baadaye aliasi)au Tambaza ya A' levels tu; bado ni Tambaza na itabaki kuwa Tambaza hata kama itageuzwa kuwa Taasisi ya elimu ya watu wazima. Historia huwa haipotei!! Jambo la wanatambaza kukutana ni la busara. Ni vyema tujue tunakuja kufanya nini. I might be there. I am a product of Tambaza. Shetani pia akaribishwe!!
Nimeulizwa juu ya ajenda: Mimi napendekeza zifuatazo:
1-Unazishwaji wa jumuiya ya wanatambaza 2-Kujadili na kubuni mchakato wa maoni juu ya jina la jumuiya 3-Kubuni mchakato mfupi wa kutengeneza miongozo ya jumuiya 4-Kuhamasisha na kufahamisha wanajumuiya 5-Ushiriki wa wanachama waliopo nje ya Dar/nchi Mengineyo
9 comments:
I like this blog
Great innitiative Elly! Nitakuwepo kwenye meeting!
Tambaza iliyokuwa na shift mbili haikuwa na ladha, Tambaza iliyojaa mademu kwa ajili ya kufungwa o level, ni sawa na kibasila.
Tambaza alisi wale waliopita miaka ya 80s, angalau kama ulimkuta shetani hajamaliza shule.
Naomba tufahamishwe yatakayojiri during that alumni meeting.
Rush (Ex-Tambaza 1977-1980)
Mimi nadhani Tambaza ni Tambaza tu!! Iwe ya akina Marijani Rajabu au Shetani au Okello hata akina No mbungi bila kuwasahau Yellowman (japokuwa baadaye aliasi)au Tambaza ya A' levels tu; bado ni Tambaza na itabaki kuwa Tambaza hata kama itageuzwa kuwa Taasisi ya elimu ya watu wazima. Historia huwa haipotei!! Jambo la wanatambaza kukutana ni la busara. Ni vyema tujue tunakuja kufanya nini. I might be there. I am a product of Tambaza. Shetani pia akaribishwe!!
Naungana na Anony hapo juu.
Kama hamtuambii angalau hata tentativ ajenda, na mimi siji
Hata kama usipotoa coments zangu. Lakini narudia kuwaunga mkono waliotangulia kusema kuwa tupewe tentative agenda.
Nimeulizwa juu ya ajenda: Mimi napendekeza zifuatazo:
1-Unazishwaji wa jumuiya ya wanatambaza
2-Kujadili na kubuni mchakato wa maoni juu ya jina la jumuiya
3-Kubuni mchakato mfupi wa kutengeneza miongozo ya jumuiya
4-Kuhamasisha na kufahamisha wanajumuiya
5-Ushiriki wa wanachama waliopo
nje ya Dar/nchi
Mengineyo
ERIC ONGARA
Poa. Sasa ni/tu takuja
Post a Comment