"a person is the product of his own thought, as long as we think that we can do it, then we can wanatambaza" ni kushirikiana na moyo wa kujitolea ndo kinachohitajika.... big up the founder of this blog kweli umetazama mbali.....
ROT Mwanzo wa mafanikio kwa jamii, naamini tutasikia ROF, ROA na kadhalika... Tukaze buti, ila kitu kimoja wandugu tuhakikishe nasi tulio nje ya nchi tunashiriki kikamilifu na wadau huko nyumbani mtufanye kwa njia moja au nyingine tujisikie hatujaachwa nyuma. Ikiwa ni pamoja na kupewa majukumu ambayo umbali hautakua kikwazo.
10 comments:
Tsup people,
This is Deo fro North Virginia USA
Heshima mbele.
Eric Ongara
Heshima mbele Elly,
Tambaza Tambaza nakupenda sana.....
Tambaza Tambaza
Tambaza Tambaza
"a person is the product of his own thought, as long as we think that we can do it, then we can wanatambaza" ni kushirikiana na moyo wa kujitolea ndo kinachohitajika....
big up the founder of this blog kweli umetazama mbali.....
ROT Mwanzo wa mafanikio kwa jamii, naamini tutasikia ROF, ROA na kadhalika...
Tukaze buti, ila kitu kimoja wandugu tuhakikishe nasi tulio nje ya nchi tunashiriki kikamilifu na wadau huko nyumbani mtufanye kwa njia moja au nyingine tujisikie hatujaachwa nyuma. Ikiwa ni pamoja na kupewa majukumu ambayo umbali hautakua kikwazo.
Venanty, George
2 thumbs up!
Nilisoma Tambaza 1977-1980.
Shukurani kwa kutukumbusha Tambaza.
R. Rush.
Carbondale, IL
Wewe aliekupa kibali/mandate ya kuanzisha hii bulogi kabla hatujakubaliana ni nani!?!
tambaza idumu milele.mgumba good job.
Post a Comment