Tuesday, July 31, 2007

Welcome to Tambazaland



Hi Tambazans,
This is where we meet,this is where we think together as a selected group of Tanzanians who passed at that DREAMLAND...we shall never forget!

10 comments:

Anonymous said...

Tsup people,

This is Deo fro North Virginia USA

Unknown said...

Heshima mbele.

Eric Ongara

Unknown said...

Heshima mbele Elly,

Tambaza Tambaza nakupenda sana.....

Unknown said...

Tambaza Tambaza

Unknown said...

Tambaza Tambaza

muhsin said...

"a person is the product of his own thought, as long as we think that we can do it, then we can wanatambaza" ni kushirikiana na moyo wa kujitolea ndo kinachohitajika....
big up the founder of this blog kweli umetazama mbali.....

Anonymous said...

ROT Mwanzo wa mafanikio kwa jamii, naamini tutasikia ROF, ROA na kadhalika...
Tukaze buti, ila kitu kimoja wandugu tuhakikishe nasi tulio nje ya nchi tunashiriki kikamilifu na wadau huko nyumbani mtufanye kwa njia moja au nyingine tujisikie hatujaachwa nyuma. Ikiwa ni pamoja na kupewa majukumu ambayo umbali hautakua kikwazo.

Venanty, George

Anonymous said...

2 thumbs up!
Nilisoma Tambaza 1977-1980.
Shukurani kwa kutukumbusha Tambaza.

R. Rush.
Carbondale, IL

Anonymous said...

Wewe aliekupa kibali/mandate ya kuanzisha hii bulogi kabla hatujakubaliana ni nani!?!

mchizi said...

tambaza idumu milele.mgumba good job.