Thursday, April 3, 2008

MIAKA 50YA TAMBAZA

Wanatambaza,heshima kwenu. Nawasilisha taarifa hii kwa mujibu wa tangazo liliotolewa na uongozi wa Shule ya Sekondari Tambaza.


Shule ya Sekondari Tambaza itasherekea jubilee ya miaka 50 tarehe 23/11/2008. Kwa ajili ya maandalizi ya sherehe hiyo, Bodi ya shule inayo heshima kuwaalika wote waliosoma katika shule hii kuhudhuria mkutano utakaofanyika katika ukumbi wa shule tarehe 06/04/2008 saa 9.00 mchana

Tafadhali mjulishe na mwingine aliesoma shule hii.Kufika kwako kutafanikisha kwa kiasi kikubwa shughuli hii.


Kwa maelezo zaidi tafadhali wasilianana katibu wa bodi ya shule(Mkuu wa shule) kwa namba ya simu: +255(0) 754317912.+255(0)622798 au barua
pepetambsec@yahoo.co na nicolas_buretta@yahoo.com

Ndimi

Eric

No comments: