Tuesday, April 8, 2008

CELTEL POP IDOLS


Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja Celtel akiwafagilia washindi wa Festi raundi ya Popo Idol TZ.Wa BSS 2007 Leah Moudy na Godfrey Gregory walifanya kweli na kupata nafasi ya kuriprizenti huko nairobi.Wengine waloshinda ni Linda Mwakalyelye na Aurelia.

No comments: