Wednesday, March 19, 2008

HASHIM:REKODI BREKA

M-bongo Hashim amevunja rekodi iliyowekwa 1992 na Alonzo Mourning kwenye ku-block.Kwa msimu mzima amepiga bloku 94 akitumia fresh utolu wake.ALL ze best mtu mzima endelea kuwakilisha ardhi hii ya wabongoland.

No comments: