Tuesday, March 18, 2008

GABRIEL RAPHAEL KAMUKARA


Gabriel (Tambazan 1995) akijaribu kumtoka mchezaji wa Standard Chartered.Gemu lilipigwa pale Don Bosco mwezi jana."Kwa kucheza karibu na mitaa ya Tambaza nilipata mzuka wa kuwachapa vikapu vingi SCB anasema"Gabriel.

1 comment:

Anonymous said...

kaka anakamua kinoma huyo,