Wednesday, August 1, 2007

Unawajua Hawa??

Unawakumbuka hawa??Kwa mbali katika mifuko ya mashati yao utaona nembo ya Tambaza.....

4 comments:

Anonymous said...

Huyu kaka ni alex....huyu binti sijui ni nani??Alex mwenyewe kama yupo atueleze...vipi bado mwaambatana kama hapa katika picha??

Anonymous said...

huyo dada ni nungu kama sikosei..

Anonymous said...

i know this kaka, i saw him at tambaza...

Anonymous said...

huyo dada ni adella nungu jaman..
now ameshaolewa