Thursday, August 2, 2007

REMINDER:MKUTANO.....MKUTANO

TAMBAZA- Tazama Mbali Zaidi

Tukumbueshane juu ya Kikao, siku zimebaki chache sana:
Siku: Jumamosi ya Tarehe 4 Agosti 2007
Muda: Kuanzia saa tisa alasiri
Mahali: Rose garden Dar-es-salaam
Waliothibitisha kuhudhiria mpaka sasa:
Herieth Koka
Elly Mgumba
Eric Ongara
Alex Mayunga
Yuster Zephrine
Gabriel Kamukara
Vivian Macha
Elia Yobu
Naomba wengine waendelee kuthibitisha hapa na pia tuendelee kuwafahamisha wengi zaidi.

TAMBAZA TAMBZA,nakupenda sana………..

Eric Ongara

HR & Administration Executive

Tel: +255 22 2865693

Fax: +255 22 2866416

Mob: + 255 754 426114

Mail: eongara@micronix.co.tz

1 comment:

Anonymous said...

Mbona kimya?huo mkutano upo?