Friday, August 3, 2007

ELIA YOBU AFUNGA PINGU ZA MAISHA


Kwa waliopita Tambaza mwaka 1998 - 2000 watamkumbuka Elia Yobu....Huyu braza ameoa mwaka huu na nimeona ni vema kuwa-update wale ambao labda hawakuzipata habari hizi njema.Hongera Yobu!!!!

1 comment:

Anonymous said...

Hongera Elia Youbu a.k.a mzee wa protocal binti mzuri sana katulia