Tuesday, August 14, 2007

MAIN HALL TAMBAZA


Wandugu hiyo ndiyo shule yetu.Picha kidogo haina ubora mzuri lakini uanweza kuona kwamba shule imezeeka.Hapa ni ile sehemu ya mbele kuingilia Hall kuu lile la school Baraza.

1 comment:

Elly Mgumba said...

Hiyo picha nilipiga nikiwa natoka hospitali ya Taifa Muhimbili.Tulikuwa tumetoka kum-check mfanyakazi mwenzetu REGINA LUHANGA aliyekuwa amepata ajali ya gari akitokea Arusha.Hata hivyo mungu amempenda zaidi na amemwita.Mungu ailaze mahali pema roho ya marehemu.Amen