Friday, August 10, 2007

FRIDAY CASUAL..Na TAMBAZA

Kama ilivyo kawaida maofisini siku za ijumaa watu kuvaa casual.Leo nimeamua kutinga na T-shirt yangu ya Tambaza iliyokuwa kabatini kwa muda mrefu tangu 2002 nilipotundika madaruga.Hili chata linapendwa wacha mchezo,nimegundua kumbe watu kibao walipita hapo na this t-shirt imewakumbusha mbali sana.

No comments: