Wednesday, March 26, 2008

TUPO WENGI...

Kwakwei tipo wengi lakini hatijuani...Katika pitapita yangu maofisini leo nimekumbana na dada huyu.Yeye amepita Tambaza ya sasa ya miaka ya 2006 au 07 kama sikosei..."Holla to all ma friends nlosoma nao na wote walobarikiwa kupita ardhi ya TAMS miaka hiyo..nice to know kuna harakati zqa ku-network" Flavia

No comments: