Tuesday, October 2, 2007

Eh!Muda wa kufuturu Bado tuu?



MwanaTambaza Yusuph Assad(Kushoto) akijumuika nyumbani kwa MwanaTambaza Elia Yobu kwa ajili ya ftari.Nilikuwepo huko Jumapili hii tukapata ftari moja nzito sana.

No comments: