Wednesday, August 1, 2007


Wana-Tambaza,picha hii ilipigwa usawa wa bwalo la kulia chakula la hostel karibu na uwanja wa mpira.Kwa nyuma ni majengo ya Block la upande wa Muhimbili primary.Wahusika katika hii picha ni viongozi wanaong'atuka katika chama cha Debate na wanaoingia.Class of 2001 handing over to class of 2002(Miaka ya kumalizia ndiyo niliyoweka)...kama unawatambua hao si vibaya ukatukumbusha

4 comments:

mchizi said...

hao ni victor,zeyana,agnes,nas,siriwa,elly,nafikiri na abida kama sijakosea.

mchizi said...

hao ni victor,elly,zeyana,agnes,nas,happy na abida kama sijakosea

Bob Sankofa said...

Huyo dada aliechuchumaa ni Happyness Siriwa. Sikusoma Tambaza lakini nilisoma naye shule ya msingi Muhimbili, jirani na Tambaza.

Anonymous said...

huyo mwenye ushungi ni zeyana,na wa kushoto kwake ni victor..na huyo kaka mfupi mweusi ni nas..zeyana na victor ni mabeste zangu sana