Wednesday, August 1, 2007

TAMBAZA:Vizazi hata vizazi....


Picha hii inatuthibitishia kwamba Tambaza is from generations to generations...Shukrani Maggid kwa kuifukua huko ilipokuwa

4 comments:

Anonymous said...

Tukumbushe hii ilikuwa miaka gani, maana inaelekea ni kitambo sana, Heshima kwa waona mbali, enzi hizo haopakuwa na XXXX ovyo ovyo.
Faida naijua mimi.

Mjengwa said...

Ah! Hii ilikuwa ni Aprili, 1984 wiki moja baada ya kifo cha marehemu Sokoine. Kutoka kulia ni Eusebio, Athuman Nyamlan, ( simkumbuki) Edgar Mwakyusa R. I. P na mimi ( Maggid)

Anonymous said...

The late Edgar Mwakyusa (RIP)nilimkuta Tambaza wakati huo tukiwa na mdogo wake anaitwa Christopher Mwakyusa. Ilikuwa 1986 lakini mbona tulipoingia tuliwakuta wa mbele yetu wanavaa kaptula Nyeupe (...)? Nakumbuka sisi ndio tulianza kuvaa kaptula za grey ambazo zote zilishonwa kwa bwana Daruwesh pale Mtaa wa Msimbazi!!

Anonymous said...

Du hii ni kali mimi ni Christopher Mwakyusa, Nimeona hiyo picha imenikumbusha mbali, kaptula za marudufu zilikuja baada ya kukosa vitambaa, majid namkumbuka na wengine wote ambao ni marafiki wa marehemu kaka yangu Edgar.